Header Ads

PropellerAds

Breaking News

PICHA 15: Kutoka kwenye msiba wa Ivan Don, Kampala Uganda

AyoTV na millardayo zinafatilia kila kinachoendelea kwenye msiba wa mume wa zamani wa Zari the Boss Lady ambaye alifariki wiki iliyopita nchini Afrika Kusini akiwa kwenye matibabu ya kile kilichoelezwa kuwa ni shinikizo la damu. Nimekukusanyia hizi picha 20 kutoka Kayunga Kampala, nyumbani kwa wazazi wa Ivan Semwanga ambako atazikwa.

Baba mzazi na Mama Mzazi wa Zari Hassan The Boss Lady
Moja kati ya magari ya kifahari Hummer alilokuwa akilimiki mfanyabiashara Ivan Don ambaye ni mzazi mwenza wa Zari
Picha kwa hisani ya Millardayo.com