Header Ads

PropellerAds

Breaking News

AUDIO: Anachokumbuka Darassa sekunde chache kabla ya kupata ajali, yeye ndio alikuwa anaendesha

Msanii wa Bongofleva Darassa Jumapili ya December 18 2016 akiwa njiani kutokea Kahama Shinyanga kuelekea Kakola Geita, amepata ajali ya gari akiwa na director wa video za Bongofleva Hanscana, gari ambayo alikuwa akiendesha yeye Darassa. Msanii wa Bongofleva Darassa Jumapili ya December 18 2016 akiwa njiani kutokea Kahama Shinyanga kuelekea Kakola Geita, amepata ajali ya gari akiwa na director wa video za Bongofleva Hanscana, gari ambayo alikuwa akiendesha yeye Darassa. VIDEO: Gari waliyopata nayo ajali Darassa na Hanscana wakitokea Kahama