Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Baada ya Marekani, hizi ni nchi nyingine za Ulaya Alikiba atafanya tour


Mwaka 2017 staa wa BongoFlava Alikiba ameamua kuuanza kwa kufanya tour ya muziki kwenye mataifa mbalimbali duniani kama alivyotangaza kwenye ukurasa wake wa Instagram. Hapa nimekusogezea ratiba ya tour akazofanya kwenye bara la Ulaya ambapo ataanza na Ufaransa, Germany, Belgium, Switzerland, Sweden na Amsterdam kuanzia June mpaka July 2017.

Alikiba ataendelea kutupatia ratiba za tour hii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, lakini pia mimi nitakuwa nakusogezea kila kitu hapa kwenye mwabusila.com ili kuhakikisha haupitwi na chochote.