Header Ads

PropellerAds

Breaking News

PICHA: MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA KYELA POLYTECHNIC COLLEGE(K.P.C) WILAYA YA KYELA MKOA WA MBEYA.

Mahafali hayo yalifanyika katika viwanja vya chuo hicho Kilichopo wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya,Yalianza mnamo saa Tano za Asubuhi hadi saa Kumi za Alasiri Siku ya Ijumaa ya Tarehe 17/12/2016 huku Mgeni Rasmi akiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya Pia Mheshimiwa Diwani wa Kata Ya Ipinda Ndugu:Hunter Mwakifuna.
Wahitimu wa Kozi mbalimbali za Astashahada na Stashahada Chuo cha Kyela Polytechnic College (K.P.C)
Mheshimiwa Mgeni Rasmi Ndugu: Hunter Mwakifuna
Mkuu wa Chuo Dkt.Salatiel Moyo Mwakyambiki
Makamu Mkuu wa Chuo Mipango na TaalumaMiss:Upendo Mwinuka
Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na UtawalaMr:Lucas Mmbaga
Licha ya Mahafali Hayo kuwa ya Furaha na Upendo kati ya wazazi,waalim na wanafunzi iliongezeka zaidi Baada ya kutangazwa Rasmi kuwa Chuo hicho Kimepata Usajili wa Kudumu kutoka Usajili wa Uangalizi yaani Provisional Registration Hivyo Kuanzia Tarehe 17/12/2016 KYELA POLYTECHNIC COLLEGE kimekuwa Full Registerd Kutoka Baraza la Kusimamia Vyuo Vya Ufundi NACTE. Pia Chuo Hicho kilichukua fursa kutangaza nafasi za Masomo kwa Muhula Mpya wa Veta January 2017.