Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Kilicho mpata Dk.Tulia hadi kujutia maamuzi ya kugombea unaibu Spika

Hayo yalitokea Mjini dodoma Katika bunge la 11 kikao cha Tatu ambapo Dk,Tulia alipo ulizwa swali na kushindwa kujibu na kupitishwa kuwa Naibu Spika kiubabe.Hii inaonyesha kiasi gani Cccm inatuona wananchi wake hatujaelimika na Elimu zetu,Tazama Video Hii Hapo chini.