Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Fahamu historia fupi ya Waziri mkuu mpya wa Serikali ya Tano

MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA Ni mtanzania pia mwanasiasa wa (CCM) na mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka jimbo la Ruangwa tangu mwaka 2010.Ameteuliwa kuwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
KUZALIWA:12/12/1960
NCHI:Tanganyika
ELIMU:Chuo kikuu Cha Dar-es-Salaam(UDSM)
CHAMA:Chama cha Mapinduzi