Header Ads

PropellerAds

Breaking News

PICHA: BMW kutengeneza pikipiki yenye reverse gear na kujua unakoenda

Siku za nyuma nilikusogezea story iliyohusu Kampuni ya kutengeneza magari ya Bugatti ya Ufaransa kushirikiana na kampuni ya kutengeneza baiskeli ya PG kwa ajili ya kutengeneza baiskeli ghali zaidi duniani.
Katika hali ya kuonesha ushindani wa kutengeneza bidhaa za kiteknolojia kampuni nyingine ya kutengeneza magari ya BMW ina mpango wa kutengeneza pikipiki ambazo zitakuwa na uwezo wa kujua unakoelekea.
Unaambiwa pikipiki hizo zitakuwa na gia ya kurudi nyuma na siti zake zitakuwa na uwezo wa kujiongeza size kulingana na mtu anayeiendesha.