Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Man city yazindua Jezi mpya zitakazo tumika msimu ujao (Picha)

Klabu ya Manchester City ya nchini Uingereza imetangaza rasmi Jezi zake mpya zitakazo tumika katika msimu ujao wa ligi wa mwaka 2017/18, klabu hiyo yenye maskani yake  Etihad, imeweka hadharani uzi wao utakao tumika  katika vikosi vyote, timu ya wakubwa kwa upande wa wanaume na wanawake, timu ya vijana na zile za watoto.