VIDEO: “Wanaomkosoa JPM wana tatizo la Uzalendo” – Mapunda
Mbunge wa Mbinga Mjini Sixtus Mapunda
alikuwa miongoni mwa Wabunge waliochangia mapendekezo kwenye Bajeti ya
Wizara ya Nishati na Madini Bungeni leo June 1, 2017 ambapo alilieleza
Bunge kuwa kuna baadhi ya wapinzani wamekuwa wakikosoa utendaji kazi wa
Rais Magufuli ikiwemo sakata la Mchanga wa Madini.