Header Ads

PropellerAds

Breaking News

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO MAY 26/2017

ROONEY KUTIMKIA CHINA

Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney anatarajia kutimkia China majira ya joto kwa mujibu wa Daily Mirror . Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza amekuwa akihusishwa mara kwa mara na klabu za Mashariki ya Mbali na inaaminika ameshaamua kuondoka Ligi Kuu Uingereza majira ya joto.
MADRID YALENGA KUMSAJILI BONUCCI

Real Madrid imepania kumsajili beki wa Juventus Leonardo Bonucci usajili wa majira ya joto kwa mujibu wa gazeti la Hispania Don Balon . Los Blancos wanataka kuimarisha safu yao ya ulinzi kwa ajili ya msimu ujao kwani muda wowote Pepe anaweza kuondoka Bernabeu.
ARSENAL YAMPA DAU NONO ALEXIS

MAN UTD CLOSE IN ON GRIEZMANN

Manchester United wanakaribia kumsajli Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid kwa paundi milioni 86, kwa mujibu wa Metro . United wamefuzu kushirikia michuano ya Ligi ya Mabingwa baada ya kutwaa taji la Europa kwa uifunga Ajax 2-0.