Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Pichaz za utambulisho wa Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji ….


Baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmiliki wa TP Mazembe Mosie Katumbi na Mbwana Samatta kuhusu dau la usajili ili ajiunge na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, January 29 ndio ilikuwa mwisho wa ubishi rasmi Mbwana Samatta katua katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.
Samatta kajiunga na klabu hiyo na kutambushwa mbele y waandishi wa habari leo January 29, dili hilo limekamilika ikiwa ni wiki moja imepita toka akubaliane na mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi aliyekuwa anataka Mbwana Samatta aende akacheze klabu ya FC Nantes ya Ufaransa, maamuzi ambayo Katumbi aliyafanya baada ya kutoridhishwa na dau la awali lililokuwa limetolewa na KRC Genk
.