Header Ads

PropellerAds

Breaking News

LOWASSA ANENA MAZITO LEO SOMA ZAIDI

Ni miaka zaidi ya 20 sasa nchi yetu pamoja na dunia nzima inateseka na janga kubwa la Ugonjwa wa UKIMWI, Siku ya leo ya UKIMWI duniani ni wasaa wa kuketi na kutafakari tulipofikia,mafanikio na changamoto ili tujue jinsi gani tunaendelea kupigana na ugonjwa huu hatari. inahitajika jitihada kuanzia ngazi ya familia,jamii hadi uongozi wa juu kuchukulia swala hili uzito upasao. Inabidi tusimame wote kwa pamoja na kusema IMETOSHA. Naomboleza na wote waliopoteza wenzi,wazazi na jamaa zao kwa janga hili,zaidi nashikana mikono na wote walioathirika. Sote ni ndugu.