Header Ads

PropellerAds

Breaking News

CHECK HAPA DJ MDOGO ZAIDI DUNIANI MWENYE UMRI WA MIAKA MITATU (3)

Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ
Mtoto huyo alianza kuchukua headlines kabla ya kushinda kwenye shindano la S.A Got Talent 2015 baada ya kuwashinda washiriki sita kwenye fainali zilizofanyika Nov 8 Johannesburg Afika Kusini. Desktop 2233333DJEEEE