Header Ads

PropellerAds

Breaking News

DK.MAGUFULI AZUIA SAFARI YA MAAFISA 50 KWENDA NJ'E SOMA HAPA?



Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushiriki kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola. Badala yake ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia tiketi za ndege
 Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli.