Msanii Hamorapa anatualika kuitazama video yake mpya na msanii Kriticos alietoka Ubeligiji kuja kufanya Colabo na Hamorapa toka Tanzania.Wimbo umeandaliwa na P.Funk Majani na Video imeongozwa na Karabani.
VIDEO:HAMORAPA AJA NA VIDEO MPYA NA MSANII WA UBELIGIJI KRITICOS
Reviewed by mwabusila
on
6/01/2017 10:28:00 PM
Rating: 5