USAJILI:TOURE ASAINI MWAKA MMOJA, STOKE CITY YAMSAJILI FRETCHER: DONDOO ZOTE SOMA HAPA
Yaya Toure
Kiungo Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja Man City utakaomfanya aitumikie timu hiyo mpaka majira ya kiangazi 2018.
Darren Fletcher
Stoke City imemsajili kiungo Darren Fletcher kutoka West Brom kwa mkataba wa miaka miwili.
KIFUNGO CHA ATLETICO MADRID KINAENDELEA
Klabu ya Atletico Madrid hawataweza kusajili wachezaji.