Msanii Belle 9 Ametuletea video yake mpya ya Maole hiyo ni baada ya kutoka kwenye Mazishi ya Baba yake Mzazi Aliye Poteza Maisha Kwa Ajali ya Pikipiki.