Header Ads

PropellerAds

Breaking News

PICHA: Jux amaliza utata alichokuwa anafanya China…katuonesha hizi picha

Mwimbaji staa wa Bongofleva JUX amehitimu Degree ya Computer Science katika Guangdong University kilichopo Guangzhou, China na leo ameonyesha picha mbalimbali kutoka kwenye graduation yake.