Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Meneja wa Alikiba azungumzia Tour ya London

Seven Mosha na Alikiba
Alikiba ni moja kati ya wanamuziki wanaofanya vizuri Afrika ambapo kutokana na kukubalika kwake kimuziki amepata nafasi ya kufanya ziara nyingi za kimuziki sehemu mbalimbali Duniani.
Christen ‘Seven’ Mosha ambaye ni Meneja wa Alikiba akizungumzia kuhusu tour kadhaa za kimuziki za staa huyo wa ‘Aje’ na namna zilivyofanikiwa. Unaweza kuyapata mengi zaidi kwa ku-play video hii hapa chini kisha baada ya kuyapata mazuri kutoka kwake usisahau kunidondoshea comment mtu wangu ili Seven Mosha akipita hapa aone>>>