Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Video Chelsea yaitandika Manchester City 3-1


Magoli ya Chelsea yamefungwa na Diego Costa,Willian,na Edin Hazard huku goli la kufutia machozi la Manchester city likifungwa na Gael Cahil akijifunga.Pia kadi mbili nyekundu zikitolewa kwa Kun Aguero, na Fernandinho.