Header Ads

PropellerAds

Breaking News

MSANII BELE 9 APATA DILI LAUBALOZI KATIKA KAMPUNI ALAMBA MKATABA MNONO....

Wiki iliyopita muimbaji wa Rnb, Belle 9 alipost picha akisaini mkataba ambao kwa wakati ule hakuweka wazi ni wa kitu gani. Lakini sasa ameweka wazi kuwa ulikuwa ni mkataba wa ubalozi wa Owbaz.com.
Mafanikio haya yanakuja baada ya Belle kuanza kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music inayosimamia kazi zake zote kwa sasa. Mafanikio mengine ambayo Belle ameyapata toka abadili mfumo wake wa kufanya kazi ni pamoja na video yake ya ‘Shauri Zao’ kuanza kuchezwa na vituo vya nje ikiwemo Trace Urban