Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Maagizo ya Rais Magufuli ujenzi wa barabara ya Mwenge – Morocco kazi imeanza.. Tazama (Picha)

Jana November 30, 2015 tulipata taarifa kutoka Ikulu kwamba fedha ambazo zilitengwa kwa ajili ya kutumika kugharamia sherehe za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika December 09 2015, zitumike kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco iliyopo Dar es salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia za barabara za lami. Sasa leo December 1, 2015 kazi hiyo ya upanuzi wa barabara umeshaanza na hapa ninazo picha kutoka barabara ya Mwenge Dar es Salaam.
Chanzo cha Habari Millardayo.com