Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Mbowe akimbilia kuwasalimia Watoto wake Mahakamani “baba yuko hapa” (+video)

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akisalimiana na watu mbalimbali ikiwemo Familia yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kurudishwa tena mahakamani hapo kwa ajili ya shauri lao kutajwa.