Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Wanafunzi Kidato Cha Nnne waliochaguliwa Kujiunga Vyuo Vya Ufundi Na Vyuo Kati watakiwa Kukubali (Confirm) Kujiunga Mara Moja na Vyuo Hivyo..


Taarifa kwa Kwa Wanafunzi wote Waliomaliza Kidato Cha Nne waliochaguliwa kujiunga na Vyuo Vya Ufundi na Vyuo Vya Kati Nacte Wanatakiwa Kukubali Kujiunga na Vyuo Hivyo Kupitia Mfumo ulioandaliwa na Nacte.

Pia Mfumo huo umeweka wazi Kwamba kwa Mwanafunzi yoyote aliechaguliwa anapewa nafasi ya Kubadilisha Fani aliyochaguliwa ikiwa tu ni Mara baada ya Kukubali wito wa Chuo hicho alicho Kuwa Amepangiwa Kwa Mara ya Kwanza.Baada ya kukubali Mwanafunzi atapata pia nafasi ya kuweza kudowload Fomu ya maelekezo au (Joining Instructions).
Pia Kwa Msaada na Maelezo Zaidi unaweza kupiga Namba Hii 0625-707364 Tuma Email moricecharles86@gmail.com