Magoli ya Ureno yaliwekwa kimyani na Cristiano Ronaldo dk 33,Bernardo Silva dk 38,Andre Silva dk 80 Pamoja na Luis Nani dk ya 90.