Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Video: Alikiba ni msanii mzuri, nampenda sana – Lava Lava

Msanii mpya kutoka WCB, Lava Lava, amefunguka mambo mengi kuhusu muziki wake pamoja na kueleza jinsi anavyomkubali muimbaji Alikiba ambaye ni mpinzani mkubwa wa bosi wake, Diamond Platnumz.