Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Rais Magufuli amteua bi Anna Mghwira kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa mgombea wa Urais ,mama Anna Mghwira (ACT Wazalendo) kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.