Header Ads

PropellerAds

Breaking News

PICHA:Okwi awasili usiku huu Jijini Dar-es-Salaam kwa Ajili ya Kusaini Mkataba mpya Simba

Mwabusila Blog imenasa picha mbili kutoka Mwalimu Nyerere International Airport Ambapo Mashabiki wa Simba na Viongozi wao walikuwa wakimsubiria Mshambuliaji Machachari Kutoka Uganda Emmanuel Okwi.