Baraka the Prince ataja sababu za kutokuwa karibu na Alikiba
Moja ya story ambayo iliwahi kuchukua headlines nyingi katika mitandao siku za nyuma ni kuhusu staa wa Bongofleva Baraka the Price kutokuwa karibu na staa mwingine Alikiba baada ya kuwa pamoja wakifanya shuguli za muziki.
New story leo June 2, 2017 ni kuwa Baraka the Price amefunguka na kueleza sababu za watu hao kutokuwa karibu tangu alipotoa wimbo aliomshirikisha Alikiba akisema sababu ni kuwa buys akiandaa album yake mpya.
Akiongea kwenye XXL ya Clouds FM Baraka the Prince amedai kuandaa albamu yake mpya kumemfanya awe busy huku Alikiba akiwa kwenye tour nje ya nchi: >>>“Ujue
mimi natoa Albam mwaka huu kwa hiyo tangu mwaka umeanza nimekuwa busy
natengeneza album yangu ndio maana sionekani niko karibu na Ali. Kwanza
Ali amekuwa haonekani Dar es Salaam sana. Amekuwa yupo safarini na
tunakuwa tunawasiliana sana kwenye simu na massage lakini ile kuonekana
kama zamani ni kwa kuwa yupo kwenye kazi zake na mimi nipo kwenye kazi
zangu.