Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Prof.Maji marefu akoa wananchi wa jimbo lake wake kwenye Mafuriko

Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini Steven Ngonyani Maaruka Kama Professor Maji Marefu akitoa msaada wa kuwaokoa wananchi wa jimbo lake kwenye mafuriko kutoka na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mengi ya Mji wa Korogwe na maeneo mengine mengi ya Nchi.
Pichani ni alie Vaa T-shirt Nyeupe
Mbunge Steveni Ngonyani akiteta jambo na baadhi ya wanachi wake wa Korogwe Vijijini waliokuwa wakitoa Msaada.