Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Nay wa Mitego adai anakuja na kanisa lake, ‘si la biashara, ni la kumuabudu Mungu aliye hai’

Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa lake la kumuabudu Mungu.
Ney wa Mitego

Amedai kuwa kanisa lake litakuwa si la biashara, bali la kumuadu mwenyezi Mungu aliye hai. “Acha kanisa likamilike, mwenye Mungu asimamie tutajua nini kinaenda kutokea lakini sio kanisa kwaajili ya kupiga hela,” Nay aliiambia E-News. Nay amedai kuwa mchungaji wa kanisa lake atakuwa tofauti na hatotegemea sadaka za waumini ili kuendesha maisha yake, bali kazi yake nyingine itakayoweza kumuingizia kipato.