Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Video:Mtanzania aliyeenda China na balance ya dola 20, anaishije wakati kuna Corona?


Michael Castory Mahalila ni kijana wa kitanzania aliyezaliwa August 16 1993 Kwimba jijini Mwanza, kwa sasa yupo china akisoma elimu ya chuo kikuu, baada ya awali ya kuamua kuachana na chuo kikuu UDOM na kwenda China kutafuta fursa za kimaisha huku akiondoka Tanzana kwa mgongo wa scolarship ya kwenda kusoma kichina.
itazame hii video hapa ujionee akfunguka mwanzo mwisho