VIDEO: Afunguka mazito, Ni M/Kiti wa Vyama visivyo na Wabunge
Kufuatia matukio kadhaa ambayo yamekuwa yakiendelea ndani na nje ya
Bunge katika siku hivi karibuni, Muungwana Blog imemtafuta Mweneyekiti
wa vyama vya siasa visivyokuwa na wabunge au uwakilishi bungeni Renatus Muhabhi
kutaka kujua nini maoni yao juu ya masuala hayo, ambapo ameeleza
kusikitishwa na mwenendo wa namna Bunge linavyoendeshwa kudai kuwa
Wapinzani wamekuwa wakikandamizwa.
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
(Video Kwa Hisani ya Muungwana Blog)
(Video Kwa Hisani ya Muungwana Blog)