Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania limefanya mabadiliko ya makamanda wake ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi.