Header Ads

PropellerAds

Breaking News

VIDEO: Familia ya Mo Dewji kutoa zawadi ya Bilioni Moja



Familia ya Gulam Dewji kupitia kwa msemaji wake Azim Dewji, imetangaza kutoa zawadi ya shilingi bilioni moja kwa mtu yeyote ambaye atasaidia kutoa taarifa za kupatikana mtoto wao Mohammed Dewji ambaye pia alikuwa ni msimamizi mkuu wa makampuni ya MeTL Group. Mo Dewji alitekwa Oktoba 11, 2018 majira ya saa 11.40 katika hotel ya Collesseum, Oysterbay.


 
Habari,Picha Na Video kwa Hisani ya Muungwana Blog