Header Ads

PropellerAds

Breaking News

NAFASI ZA MASOMO 2017/2018 KYELA POLYTECHNIC COLLEGE (K.P.C)

Mkuu waa Chuo Cha Kyela Polytechnic College Anapenda kuwatangazia Muhula Mpya wa Masomo kwa Mwaka wa Masomo 2017/2018.Chuo kina walimu walio bobea kwenye taaluma ya ufundishaji na Mazingira Mazuri ya Kujisomea kwa Mwanafunzi.Chuo nicha Kutwa na Bweni na Gharama zetu ni nafuu mno pia waweza kulipa kwa awamu kulingana na makubaliano utayoingia na Uongozi wa Chuo.
Chuo kipo Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Kyela(Mjini) Nafasi zipo na Nyote Mnakaribishwa.Kwa Maaelezo zaidi tembelea tovuti ya chuo ambayo ni www.kpc.ac.tz ili kuona Kozi zitolewazo VETA NA NACTE
Dr.Salatiel Moyo Mwakyambiki
Mkuu wa Chuo Kyela Polytechnic College

              Wanafunzi wa Fani ya Hotel Management wakiwa kwenye Mafunzo ya Vitendo
                                                   Wanafunzi wa Driving wakijifunza kuhusu Engine
                                                                           Computer Lab 1
 Wanafunzi wa Electrical Installatio wakiwa na Mwalimu Sunday Paschal wakifanya Plactical kwa Awamu
 Wanafunzi wa Secretarial wakiwa na Mwalimu Leonard Mwaisunga katika mafunzo ya Vitendo