VIDEO:Real Madrid yaibugiza Juventus 4-1
Cristiano Ronaldo Akishangilia goli.
Licha ya Real Madrid Kuwa Klabu ya kwanza Duniani tangu kombe la UEFA Champions League kuanzisha kuchukua kombe hilo mara mbili Mfululizo,pia madrid imekuwa klabu ya kwanza kuvunja rekodi ya kufunga Magoli 503 tangu UEFA champions League Kuanzishwa.
Kwa upande wa Ronaldo Mambo yamezidi kuwa Mazuri Baada ya Kutwaa Kiatu cha Ufungaji bora wa UEFA kwa kuwa na goli 12 ndani ya Mechi 13 mbele ya Mpinzani wake Lionel Messi alicheka na Nyavu za UEFA mara 11 kabla ya kuondolewa kwenye Michuano na Juventus.
Pia Cristiano Ronaldo Leo Ametimiza Magoli 600 Tangu alipoanza Kucheza soka kama kazi yake.