Header Ads

PropellerAds

Breaking News

PICHA 6: Msiba wa Taifa, maelfu walivyoaga miili 32 Arusha


Miili ya watu 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa Lucky Vicent waliopata ajali ya gari May 6, 2017 imeagwa leo May 8, 2017 ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu aliwaongoza watanzania kuiaga miili hiyo katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Kutoka katika Uwanja wa Kumbukumbuku ya Sheikh Amri Abeid millardayo.com imezipata picha za baadhi ya matukio uwanjani hapo.