Header Ads

PropellerAds

Breaking News

Alikiba kuja na kitu kipya kwenye runinga yako

Kwa mujibu wa meneja wa hitmaker huyo wa Aje, Seven Mosha kuna kila dalili Kiba akaachia documentary yake ya safari hiyo na vitu vingine kwa ajili ya kuwapa fursa mashabiki wake kujionea kila kilichotokea kwenye sherehe hiyo. Kupitia mtandao wa Instagram, meneja huyo ameandika: The King’s @officialalikiba Sayari Camp visit is documented by filmmaker Simone Pecorari and managed by @g.salome . The documentary will be aired on local and international media soon!! #Kings30YearsTurnUp #SayariCampSerengeti #ExploreLoveProtect